Kufufuka Yesu ndio msingi wa imani ya Kikristo

Bwana Yesu asifiwe! Leo tukiwa tunaadhimisha Sikukuu ya Pasaka inayomaanisha kufufuka kwa Bwana Yesu kutoka kaburini, natamani uyafahamu mambo ya msingi kuhusiana na ufufuko huu ili kumwezesha kila mmoja kufaidika na uhalisia wa tukio hili. Ukristo umezaliwa kupitia Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye ni mwanzilishi pekee wa imani ambaye alikufa na hakubaki kaburini, maana alifufuka…

Read More

Kocha Stellenbosch: Simba ni timu hatari CAF

Kocha wa Stellenbosch FC, Steve Barker, amesema Simba SC ni moja ya timu hatari zaidi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, akisisitiza kuwa ubora wa Wekundu wa Msimbazi hauishii kwa kikosi cha kwanza pekee, bali unakwenda hadi wachezaji wa akiba. Jumapili hii, Simba itakuwa mwenyeji wa Stellenbosch katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza…

Read More

Pasaka ilivyogeuka kuwa majonzi kwa familia saba

Mafinga. Ajali ya gari la kubebea wagonjwa imekatisha matumaini ya watu saba ya kuiona Sikukuu ya Pasaka inayosherehekewa kesho Jumapili, Aprili 20, 2025, na waumini wa dini ya Kikristo, ikilenga kuadhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo. Hilo ni baada ya watu hao kupoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa, katika ajali iliyohusisha ari hilo lililogongana uso kwa…

Read More

Straika KMC amtaja Mukwala | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema anaupenda aina ya uchezaji wa straika wa Simba, Steven Mukwala kutokana na kasi yake, mzuri wa kuunganisha pasi hadi kufunga. Saliboko ambaye msimu huu amefunga mabao mawili na asisti moja akiwa amekosa kucheza mechi 10 kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha, alisema Mukwala mwanzoni alionekana hamna…

Read More

Fountain Gate yamkomalia Yusuphu Athuman

SIKU chache baada ya mshambuliaji Yusuph Athuman kutambulishwa na Yangon United ya Ligi Kuu Myanmar, uongozi wa Fountain Gate imeibuka na kuweka wazi kuwa bado ni mchezaji wao halali. Athuman amejiunga na timu hiyo akitokea Tanzania Prisons aliyokuwa anaitumikia kwa mkopo akitokea Fountain Gate ambao hakuwahi kuichezea mchezo hata mmoja. Akizungumza na Mwanaspoti, Ofisa Mtendaji…

Read More

Chanongo aziwaza dakika 270 | Mwanaspoti

KIUNGO wa Tanzania Prisons, Haruna Chanongo amesema wana dakika 270 ngumu za maamuzi ya timu hiyo kusalia Ligi Kuu au la, kutokana na kile ambacho watakivuna katika mechi tatu zilizosalia. Prisons ipo nafasi ya 14 katika mechi 27 ilizocheza imeshinda saba, sare sita na imepoteza 15, ikifunga mabao 21 na kufungwa 36 ikikusanya pointi 27,…

Read More

Azam yasaka rekodi Kombe la Muungano

BAADA ya ndoto za Azam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kuota mbawa, kocha Rachid Taoussi kwa sasa amehamishia nguvu katika michuano ya Kombe la Muungano, ingawa anakabiliwa na mtihani mkubwa wa kuchukua taji hilo. Azam ni miongoni mwa timu zinazoshiriki michuano hiyo mwaka huu itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23 hadi 30,…

Read More