Meridianbet Yawafikia Wakazi wa Mbezi Juu

IKIWA ni Jumamosi ya wewe ndugu mteja kuondoka na kitita cha pesa pale Meridianbet, kampuni hiyo yenyewe leo hii imefika mpaka kata ya Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi. Mapema kabisa timu nzima ya Meridianbet ikiongozwa na Nancy Ingram ambaye ni Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo, walifika katika Ofisi ya Diwani wa Mbezi Juu…

Read More

Vijana Zanzibar wakumbushwa uchaguzi wa haki na uwazi

Unguja. Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (Zaeca) imesema rushwa imekuwa kikwazo katika mchakato wa uchaguzi na kusababisha kupotea kwa haki za wapiga kura na kuathiri matokeo ya uchaguzi. Hivyo, mamlaka hiyo imewataka vijana kuwa na ari ya mabadiliko kwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za kuelimisha umma, kufichua vitendo vya rushwa na kuhimiza…

Read More

Mashabiki Simba wataka mechi iishie Zanzibar

Mashabiki wa Simba ambao wamesafiri kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wanaamini kuwa timu yao itaimaliza vizuri mechi ya nusu fainali kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, na safari ya Afrika Kusini itakuwa ni kwa ajili ya kufanya shopingi. Moses maarufu kama Pasi Milioni, ambaye ametoka jijini Dar es Salaam amesema kuwa Simba imeiva na ina…

Read More

Shabiki Yanga asafiri kutoka Shinyanga kuishangilia Simba

Shabiki wa Yanga ambaye amejitambulisha kwa jina la Malik amesema kwamba amesafiri kutoka Shinyanga kwa ajili ya kuwashuhudia watani zao, Simba wakicheza mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Stellenbosch mjini Zanzibar.  Malik ambaye alikuwa ameambatana na rafiki yake, amesema: “Nimemfuata Mnyama kwa sababu ni timu ya Tanzania. Mtani wangu…

Read More

Sh13 bilioni kuendeleza mabonde ya mpunga Zanzibar

Unguja. Katika jitihada za kuhakikisha Zanzibar inajitegemea kwa chakula, umeandaliwa mradi wa kuendeleza mabonde ya mpunga ambao utatumia Dola za Marekani 5.153 milioni sawa na (Sh13.8 bilioni). Mradi huo wa msaada wa Maendeleo ya Kimataifa (Oda) unafadhiliwa na Serikali ya Korea kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, ambao utafanya kazi kwa…

Read More

OMO ASIWANIE URAIS ZBAR KWA KUTEGEMEA HADITHI ZA VIJIWENI

****** Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman , kutotia nia ya kuwania urais Zanzibar kwa kuziamini hadithi za kale za vijiweni na Mitaani zinazodai ati CCM hakijawahi kushinda. Pia CCM kimekumbusha asidhani kwa kulitumia jina la Hayati Maalim Seif Sharif Hamad , kutamzidishia chochote ili akwepe…

Read More

11 wanusurika kifo nyumba ikiungua moto Pemba

Pemba. Watu 11 wa familia moja wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Unguja wamenusurika kifo baada ya nyumba yao kuungua moto. Tukio hilo lililotokea eneo la Wawi Aprili 18, 2025 saa 3:00 usiku wakati familia hiyo ya Khamis Haji ikiwa ndani imejipumzisha. Hata hivyo licha ya moto huo kuunguza vitu vyote vilivyokuwamo ndani ya nyumba, hakuna…

Read More