Mahakama yajitenga kujadili uhalali ndoa ya Mrema, Doris
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani, imekataa kujadili uhalali wa ndoa kati ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Augustino Mrema na Doris Mkandala kwa kuwa suala hilo halikuwahi kutolewa maamuzi na Mahakama Kuu. Jopo la majaji watatu wa mahakama ya Rufani, Lugano Mwandambo, Abraham Mwampashi na Dk Eliezer Feleshi, limekosoa hukumu ya Mahakama Kuu iliyoenda mbali…