Watumishi Bodi ya Mfuko wa Barabara watakiwa kuzingatia miongozo ya uandishi wa nyaraka

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Ujenzi Mrisho Mrisho, akifunga kikao kazi cha ndani cha Bodi ya Mfuko wa Barabara kilichofanyika kwa siku tatu mkoani Morogoro. ************* Watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wametakiwa kuzingatia miongozo ya uandishi wa nyaraka mbalimbali za kiserikali ili kuboresha ubora na ufanisi wa mawasiliano ya kimaandishi…

Read More

Mchakamchaka urais 2025, ndani ya vyama pamoto

Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kuwapata wagombea urais wa Tanzania Bara na Tanzania ukiendelea kushika kasi kwenye vyama vinne vya siasa, vyama vingine pia viko mbioni kuanza mchakato huo. Pazia la kuwapata wagombea urais ndani ya vyama lilifunguliwa Januari 2025 na Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichowapitisha Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais, huku…

Read More

SERIKALI KUANZA KUTOA RIPOTI YA KILA MWAKA YA BBT

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma SERIKALI inatarajia kuanza kutoa ripoti ya kila mwaka ya Mradi wa Jenga iliobora (BBT),ili kuonyesha kilichofanyika kwa wanawake na vijana kwa mwaka mzima katika maeneo mbalimbali kupitia mradi huo. Aidha amesema Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,ataizindua rasmi ripoti hiyo Aprili 27 jijini Dodoma itahusisha mambo mbalimbali kwenye sekta ya kilimo kwa…

Read More

MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA YAFANIKISHA KAYA MASIKINI 400,000 KUONDOLEWA TASAF

Na Mwandishi Wetu MIAKA minne ya serikali ya awamu ya sita madarakani Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF),kupitia Mpango wa kunusuru kaya maskini umefanikiwa kuhitimisha kaya za walengwa takribani 400,000 nchi nzima baada ya kuhudumiwa kwa takribani miaka 10. Hilo limefanikiwa kutokana na utekelezaji wa afua mbalimbali ambapo zimeboresha maisha,kuongeza rasilimali na zinaweza kuendelea kuendesha maisha…

Read More

Mtiti wa lala salama Umeanza Championship

RAUNDI ya 27 ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa michezo miwili, leo itapigwa mitatu katika viwanja mbalimbali kwa kila timu kutafuta pointi tatu muhimu, huku ikihitimishwa mingine kesho. Kwenye Uwanja wa Ilulu Lindi, Bigman FC iliyochapwa bao 1-0, mechi ya mwisho dhidi ya Transit Camp, itacheza na African…

Read More

Fei Toto aipa pigo Azam FC

KIKOSI cha Azam kipo Bukoba kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, lakini kikiwa na pigo baada ya kiungo mshambuliaji nyota, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kutokuwepo kutokana na kuwa majeruhi, huku kocha akidai kuvurugwa kwa kumkosa. Inaelezwa nyota huyo anayeongoza kwa asisti katika ligi akiwa nazo 13 ameshindwa kuambatana na…

Read More

Hamza afichua siri Zanzibar, Kibu atajwa

KIKOSI cha Simba kinashuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Afrika Kusini, huku mastaa wa timu hiyo wakiongozwa na beki wa kati, Abdulrazack Hamza, wakitoa kauli ya kibabe. Simba imetinga hatua hiyo baada ya kuing’oa kwa penalti 4-1 Al Masry ya Misri waliyotoka nayo sare ya mabao 2-2 matokeo ya jumla kila timu ikishinda…

Read More

Yao Kouassi atulizwa Yanga, kocha ahusiska

YANGA ipo safarini kuifuata Fountain Gate kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara inayopigwa Jumatatu, huku taarifa mbaya kwa mashabiki ni kwamba huenda wasimuone tena uwanjani beki wa kulia, Yao Kouassi aliyejitonesha jeraha. Yao aliyekuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na kuumia nyama za paja, alianza mazoezi na wenzake, lakini juzi kati alijitonesha na…

Read More

Wachezaji Simba waongezewa mzuka, watangaziwa dau nono

SIMBA inahesabu saa kabla ya kushuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Sauzi katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mfadhili wa zamani, Azim Dewji, akiwaongezea mzuka mastaa kwa kutangaza dau kwa kila bao na asisti. Simba itaikabili Stellenbosch kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kuanzia saa 10:00…

Read More