Ujenzi daraja Jangwani kuanza rasmi Mei

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema ujenzi wa daraja la Jangwani litakalokuwa na urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza rasmi mwezi ujao. Ujenzi wa daraja la Jangwani utagharimu Sh97.1bilioni, ukikamilika utaondoa adha ya kukatika kwa mawasiliano ya kuingia katika jiji la Dar es Salaam, utahusisha pia barabara za…

Read More

Kikwete anavyopasua anga kumnadi Janabi

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameonekana akizunguka katika nchi kadhaa za Afrika akimnadi Profesa Mohammed Janabi, anayewania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika. Mjumbe huyo maalumu wa Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka sasa ameshazuru nchi 21 akiwa sambamba na Profesa Janabi, ikiwemo Congo…

Read More

JK anavyopasua anga kumnadi Janabi