
Muda unatosha mabadiliko madogo ni utashi tu wa kisiasa!
Jumamosi iliyopita tulisherehekea miaka 61 ya Muungano wetu huu adhimu na wa kipekee. Kwa hakika, Muungano wetu umeimarika, umepevuka, na umekomaa kiasi kwamba sasa tuko tayari kuchukua hatua ya pili ya kuudumisha kwa kuungana kuwa na serikali moja, nchi moja, chini ya Rais mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hili Rais Samia Suluhu Hassan…