BAKWATA Yawazawadia Washindi wakuhifadhi Qur’an

Na Baltazar Mashaka, Mwanza KATIKA juhudi za kulea kizazi chenye maadili na hofu ya Mungu, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza,leo limewazawadia vijana walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitungi ya gesi na fedha taslimu. Washindi sita wa mashindano hayo walipewa zawadi hizo,huku washiriki wengine 12 wakituzwa…

Read More

WASTAAFU SOKO LA KARIAKOO KULIPWA MILIONI 306

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Mhe. Hawa Ghasia amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa shilingi milioni 306 kulipa madeni ya wastaafu wa Shirika hilo. Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo ,CPA Ashraph Yusuph Abdulkarim. (Habari na Picha na Shirika la Masoko ya Kariakoo) SERIKALI  ya Awamu…

Read More

Mradi wa Nyumba za WHI kugharimu Tzs Bil. 18

    Mwenyekiti wa Bodi  ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) Celestine Muganga akitoa maelekezo  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa WHI, Sephania Solomon wakati kamati ya bodi hiyo ilipotembelea mradi wa 101 Mikocheni Apartment.Meneja wa Mradi huo, Mhandisi Yusuph Mlimakifu akitoa maelezo kwa kamati ya bodi hiyo wakati ilipotembelea mradi wa 101 Mikocheni…

Read More

Hakuna mapumziko kwa raia huku kukiwa na vita visivyo vya mwisho na vizuizi vya upatikanaji wa misaada – maswala ya ulimwengu

Katika mwaka wake wa tatu, mzozo Kati ya Vikosi vya Wanajeshi wa Sudan (SAF) na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vimeunda shida kubwa zaidi ya kuhamishwa duniani, miundombinu inayoharibu na huduma muhimu kote nchini. Karibu Watu milioni 12.5 wamelazimishwa kutoka kwa nyumba zaopamoja na zaidi ya milioni 3.3 ambao wamekimbia mipaka kutafuta usalama. Ugavi…

Read More

Mifuko ya wakulimwa wa tumbaku kucheka

Tabora. Baada ya wakulima wa zao la tumbaku kudai kwa muda mrefu fedha za mbolea ya ruzuku walizoahidiwa na serikalini bila mafanikio, hatimaye Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Stephen Wasira amejitosa katika sakata hilo akisema hadi mwishoni mwa mwezi huu watakuwa wamelipwa. Wakulima hao wanaidai serikali Sh13 bilioni ilizowaahidi kuwalipa msimu wa mwaka…

Read More

Wananchi Serengeti waiangukia Serikali uvamizi wa wanyamapori

Serengeti. Wakazi wa Kijiji cha Makundusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamelalamikia ongezeko la matukio ya wanyamapori, hususan tembo na simba kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kuvamia makazi yao na kusababisha uharibifu wa mali na kuwafanya waishi kwa wasiwasi. Kutokana na hali hiyo, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kusaidia kuondokana na changamoto hiyo ambayo…

Read More