UJUMBE WA IJUMAA KUU: Kwa nini Wakatoliki hawali nyama siku ya Ijumaa Kuu
Dar es Salaam. Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja na mshikamano. Akizungumza kuhusu siku hii alipozungumza na Mwananchi kwa simu, Askofu mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini amesema Ijumaa Kuu inaadhimisha mateso ya Bwana Yesu Kristo aliyefariki kwa kumwaga damu. “Kwa…