WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWASABABU NDANI YAKE KUNA HAKI

*Asisitiza hawawezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo  Na Said Mwishehe,Tabora MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema kuwa ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki ,hivyo wanahubiri amani kwasababu ndani ya amani inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa…

Read More

WASIRA AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA MADAI YAO YA FEDHA BILIONI 13/- KULIPWA MWEZI HUU

Na Mariam Mkamba, Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amewaahidi wakulima wa tambaku mkoani Tabora kuwa fedha zao za ruzuku Sh.bilioni 13 wanazodai kwa muda mrefu watalipwa mwishoni mwa Aprili mwaka huu. Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Tabora akihitimisha ziara yake ya kikazi katika…

Read More

WASIRA ATOA SULUHISHO KERO YA TUMBAKU, KULIPWA MWEZI HUU

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira  Na Mariam Mkamba, Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amewaahidi wakulima wa tambaku mkoani Tabora kuwa fedha zao za ruzuku Sh.bilioni 14 wanazodai kwa muda mrefu watallpwa mwishoni kwa Aprili mwaka huu. Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza katika mkutano…

Read More

Mpito dhaifu wa Libya unakumbwa na kuzidisha mgawanyiko wa kiuchumi na kisiasa – maswala ya ulimwengu

Karibu miaka 15 baada ya kuanguka kwa Muammar Gaddafi na kuibuka kwa tawala za wapinzani mnamo 2014, nchi hiyo inabaki kugawanyika, na serikali inayotambuliwa kimataifa ya Umoja wa Kitaifa (GNU) iliyoko Tripoli huko Northwest na Serikali ya Utawala wa Kitaifa (GNS) huko Benghazi mashariki. “Kila siku, Walibya wa kawaida wanakabiliwa na machafuko yanayorudiwa, iwe ya…

Read More

Hela ya mstaafu inapokopwa bila kurejeshwa!

Siku chache zilizopita, macho na masikio ya mstaafu wetu ambayo uzee wake sasa huyafanya yasione wala kusikia vizuri, pamoja na kupenda kwake kuyafagilia kuwa yameona na kusikia mengi  yamemfanya kusoma na kusikia mengi. Mengi hayo ni yale yanayoishia kupandisha shinikizo lake la damu na kuharakisha safari yake ya kuelekea Kinondoni kwa kasi zaidi ya G6…

Read More

Haki na wajibu wa watoto kwa mama yao

Neno mama limetajwa katika Qur’an mara 28 kwa tamko la umoja na wingi. Kawaida, neno hili linapotajwa katika Qur’an hutangamana na msamiati unaoelezea hali halisi ya umama, iwe ya kibiolojia au ya kihisia. Kwa ujumla, Qur’an Tukufu imeeleza kwa kina kuhusu sifa ya umama, ikifafanua vipengele vyake vya kimaumbile na vya kiroho, ikabainisha haki anazostahiki…

Read More

Umuhimu watoto kupimwa kisukari mapema

Wazazi wengi huzingatia kuhakikisha watoto wao wanapata chanjo, hula vizuri, na kwenda shule.  Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo mara nyingi hupuuzwa, navyo ni vipimo vya sukari katika damu.  Wengi hudhani kuwa kisukari ni ugonjwa wa watu wazima tu, lakini ukweli ni kwamba watoto pia wako katika hatari ya kupata ugonjwa huu, hasa aina ya…

Read More