BILIONI 2.3 KUSAIDIA BIASHARA CHANGA ZA VIJANA TANZANIA
“”””””” Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation wamesaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuziwezesha biashara changa za vijana nchini. Hafla hiyo ya kihistoria imefanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, ambapo rasmi ni Waziri wa…