TADB Yavunja rekodi , Yatoa Gawio la Kihistoria la Shilingi Bilioni 5.58 kwa Serikali kwa Mwaka 2024
Mwakilishi wa Msajili wa Hazina, Mohamed Nyasama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 17, 2025 wakati wa kutangaza gawio la serikali kwa Mwaka 2024. Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Ishmael Kasekwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Aprili 17, 2025 baada ya kikao cha bodi hiyo….