
Nini hatima ya siasa kwa Askofu Gwajima?
Moshi/Dar. Kuna usemi “A King’s word is law” ikimaanisha neno la mfalme ni sheria na hili linaakisi kile ambacho kinatarajiwa kumkuta Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, baada ya kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusiana mchujo wa wagombea 2025. Rais Samia wakati akifunga mkutano mkuu maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dodoma Ijumaa…