
Yanga yakwaa kisiki CAS, TPLB kutangaza ratiba mpya ya ligi punde
MAKAHAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitupa rufani ya Klabu ya Yanga iliyofungua dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Yanga iliwasilisha CAS madai kuhusiana na kutoridhishwa kuahirishwa kwa mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba uliopangwa kuchezwa Machi 8, 2025. Walalamikiwa wengine katika shauri hilo ni Bodi ya Ligi Kuu…