Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema bado Buchosa anayoitaka haijatimia licha ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka mitano akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Habari za Kitaifa