Malawi Yaondoa Marufuku ya Kibiashara kwa Tanzania Yafungua Milango ya Ushirikiano Mpya wa Kiuchumi

Dodoma, 2 Mei 2025 –MALAWI  imetangaza rasmi kuondoa marufuku ya uagizaji wa mazao ya mimea kutoka Tanzania, hatua inayofungua ukurasa mpya katika uhusiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo jirani. Uamuzi huo umetangazwa wakati wa Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dodoma, ukiwaleta pamoja viongozi waandamizi wa sekta za Mambo…

Read More

Tanzania Yaondoa Marufuku ya Kibiashara kwa Malawi, Yafungua Milango ya Ushirikiano Mpya wa Kiuchumi

Dodoma, 2 Mei 2025 – Tanzania imetangaza rasmi kuondoa marufuku ya uagizaji wa mazao ya mimea kutoka Malawi, hatua inayofungua ukurasa mpya katika uhusiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo jirani. Uamuzi huo umetangazwa wakati wa Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dodoma, ukiwaleta pamoja viongozi waandamizi wa sekta za…

Read More

Vigogo Chadema Mwanza, wengine 167 watimkia CCM

Mwanza. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kujiimarisha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, baada ya kupokea wanachama wapya 170 kutoka vyama vya upinzani. Wanachama hao wapya wamepokea leo Ijumaa Mei 2, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla uliofanyika Viwanja vya Furahisha jijini…

Read More

EWURA YATOA VIBALI NANE USAMBAZAJI GESI ASILIA VYA CNG

 :::::: Hadi Aprili, 2025 EWURA ilitoa jumla vibali nane (8) kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kupeleka gesi asilia kwenye vituo vya CNG. Vibali sita (6) vilitolewa kwa Kampuni ya TPDC ili kuunganisha gesi asilia katika vituo vya: Puma Energy Tanzania Limited (Mbezi Beach); TPDC (Mlimani); TAQA Dalbit (Ubungo Mawasiliano); Energo Tanzania Limited (Mikocheni);…

Read More

Muhimbili yapata ithibati ya tatu ya ubora wa maabara

Dar es Salaam. Maabara Kuu ya Hospitali ya Muhimbili imetunukiwa cheti cha ithibati ya ubora, kitakachodumu kwa miaka mingine mitano. Faida za kupata ithibati hiyo zimeelezewa kwa undani, ikiwemo kuimarika kwa ubora wa huduma za vipimo. Ithibati hiyo hutolewa na Bodi ya Ithibati ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADCAS). Mchakato wa kuandaa Maabara Kuu…

Read More

Mambo matano kuimarisha uhuru wa wanataaluma Afrika

Dar es Salaam. Wanazuoni wameainisha mambo matano muhimu yanayopaswa kuzingatiwa ili kufanikisha upatikanaji wa uhuru kamili wa kitaaluma kwa wasomi na taasisi za elimu ya juu barani Afrika. Mambo hayo waliyoyabainisha ni pamoja na matumizi ya lugha ya kufundishia inayoeleweka vyema, mamlaka kukubali kukosolewa, mazingira huru ya utawala kwa vyuo vikuu, ufadhili huru na wazi,…

Read More