Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) inaonyesha kuwa wanaweza kuwajibika kwa Kupunguzwa sana kwa matarajio ya maisha Katika nchi tajiri na masikini sawa.
Day: May 6, 2025

::::::: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 06, 2025 limepitisha kwa kishindo Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali hivi karibuni itahitimisha mchakato wa ununuzi wa meli nane kwa ajili ya uvuvi wa bahari

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Lazaro Twange kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Twange aliyekuwa Mkuu wa Wilaya

Waziri wa Kazi wa Jamhuri ya Dominika Eddy Olivares Ortega na Javier Cremades, Rais wa Jurist World Jurist, wanapeana tuzo ya tuzo ya heshima kwa

Unguja. Licha ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kupunguza asilimia 50 ya ada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, Uwakilishi na udiwani kwa wanawake, baadhi

Dar es Salaam. Wanahabari wameeleza changamoto zinazoikabili tasnia hiyo katikati ya ulimwengu wa teknolojia na akili mnemba. Wamesema ukuaji wa teknolojia umesababisha uwepo wa habari

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2025/26, huku Serikali ikisema katika kipindi cha miaka minne imelipa deni la makandarasi lenye thamani

Serengeti. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi, amewaagiza wananchi wa Kijiji cha Nyatwali, kilichopo Wilaya ya Bunda, kuondoka mara moja katika maeneo waliyokuwa

Ulanga. Matengenezo ya barabara iliyokatika Mei 3, 2025, katika eneo la Ilagua wilayani Ulanga yameanza kufanywa na wahandisi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad), kwa