
Ngoma bado ngumu kumpata Papa mpya, moshi mweusi wafuka
Vatican. Mchakato wa kumchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki umeanza rasmi lakini bila mafanikio, baada ya moshi mweusi kufuka kutoka bomba la moshi la Kanisa la Sistine usiku huu kuamkia Alhamisi, Mei 8, 2025. Tukio hilo linaashiria kuwa awamu ya kwanza ya upigaji kura iliyofanyika Jumatano jioni haikufanikisha kumpata papa atakayerithi nafasi iliyoachwa na Papa…