Risasi kubwa ya tovuti hiyo kwa watu waliohamishwa walioshikiliwa katika Shule ya Marie-Jeanne huko Port-au-Prince, ambapo watu 7,000 wanaishi katika hali ya kuzidiwa na ya
Day: May 8, 2025

Vatican City. Papa Leo wa XIV ametoa hotuba yake ya kwanza akiwa Papa kwa kutumia lugha ya Kiitaliano na Kihispania. Baada ya maneno yake ya

Papa Leo XIV alikuwa mwanachama wa Shirika la Mtakatifu Augustine, ambaye anaelezwa kufanana kimatendo na Papa Francis katika kujitolea kwa maskini na wahamiaji, pamoja na

Dar es Salaam. Wakati wadau wa masuala ya afya wakipendekeza kujumuishwa huduma za uzazi wa mpango kwenye bima ya afya, Serikali imesema imeyapokea na yatafanyiwa

▪️Ni mgodi wa uchimbaji wa madini adimu(Rare Earth Elements) ▪️Uzalishaji wa kwanza ni mwaka 2026 mwishoni ▪️Kiwanda cha Kusafisha Madini na kuongeza thamani madini kujengwa

Karagwe. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewashukia waliokuwa makada wa chama hicho waliotangaza kujivua uanachama akidai wamefika bei. Akihutubia

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa TAKUKURU Mkoa of wa Dodoma Christopher Myava amesema katika utendaji kazi wa Takukuru mkoani humo katika kipindi cha

Dodoma. Kilio cha taasisi za umma kulimbikiza madeni ya huduma za maji na madai ya makandarasi kimezua mjadala bungeni wakati wa kujadili makadirio ya mapato
Na MWANDISHI WETU, TANGA. Waajiri wa sekta binafsi wametakiwa kuzingatia wajibu wao wa kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwa wakati ili kuwawezesha wanachama wa Mfuko wa

Washington. Marais Donald Trump wa Marekani na Volodymyr Zelensky wa Ukraine wamempongeza Papa mpya, Leo wa XIV, kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa