Mawakala wa UN wanakataa mpango wa Israeli wa kutumia misaada kama ‘bait’ – maswala ya ulimwengu

Mfuko wa watoto wa UN (UNICEF) Msemaji James Mzee alisisitiza kwamba pendekezo la Israeli la kuunda vibanda kadhaa vya misaada pekee kusini mwa strip itaunda “Chaguo lisilowezekana kati ya kuhamishwa na kifo“. Mpango huo “unapingana na kanuni za msingi za kibinadamu” na unaonekana iliyoundwa “kuimarisha udhibiti wa vitu vya kudumisha maisha kama mbinu ya shinikizo”,…

Read More

KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE WA SERONERA (SERONERA AIRSTRIP) KUCHOCHEA ONGEZEKO LA WATALII SERENGETI

Kukamilika kwa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Seronera (Seronera Airstrip) uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti umeelezwa kuwa kichocheo muhimu cha ongezeko la idadi ya watalii nchini Tanzania. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hassan Abbasi ameeleza kuwa kukamilika kwa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Seronera (Seronera Airstrip) uliopo…

Read More

Wasomi watakiwa kubuni teknolojia za kupunguza upotevu wa mazao

Morogoro. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema licha ya Serikali kuweka fedha nyingi katika miradi ya kilimo, bado kuna changamoto ya uharibifu na upotevu wa mazao baada ya kuvunwa. Kigahe amesisitiza kuwa vijana wasomi wanapaswa kuendeleza na kubuni teknolojia zitakazosaidia kupunguza changamoto hiyo. Kigahe aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wabunifu, wajasiriamali, wahadhiri,…

Read More

Jinsi Bunge lilivyopitisha bajeti Wizara ya Maji

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2025/26 likitumia takribani dakika 10. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso jana Mei 8, 2025 aliliomba Bunge kuidhinisha Sh1.01 trilioni kwa ajili ya wizara hiyo, kati ya hizo Sh943.11 bilioni ni kwa ajili ya miradi maendeleo. Katika mwaka 2024/25 Bunge liliidhinisha Sh627.78 bilioni kwa ajili ya…

Read More