…….
Waziri wa Maji ambaye ni Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Alli Aweso (Babu Ali) kilichotokea Dodoma leo asubuhi wakati waziri akihitimisha bajeti ya wizara ya maji.
Mazishi yatafanyika Sakura Pangani.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Amin