UN inaonya uhaba wa shaba ina hatari ya kupunguza nguvu za ulimwengu na mabadiliko ya teknolojia – maswala ya ulimwengu

Katika hivi karibuni Sasisho la Biashara ya Ulimwenguniiliyotolewa wiki hii, Unctadinaelezea Copper kama “malighafi mpya ya kimkakati” kwenye moyo wa uchumi wa ulimwengu wa haraka na unaongeza nguvu. Lakini kwa mahitaji yaliyowekwa kuongezeka zaidi ya asilimia 40 ifikapo 2040, usambazaji wa shaba uko chini ya shida kubwa – ikisababisha chupa muhimu kwa teknolojia kuanzia magari…

Read More

Majaliwa: Dini zina mchango kuimarisha ustawi wa jamii

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema madhehebu ya dini yana mchango mkubwa katika kuimarisha ustawi wa jamii na kutoa huduma za kiroho. Majaliwa amesema Serikali inathamini kazi kubwa inayofanywa katika maeneo mbalimbali, hususan katika kutoa huduma za kijamii na hivyo kuchangia kasi ya maendeleo ya Taifa. Amezitaja baadhi ya huduma hizo kuwa ni…

Read More

Wachimbaji wa jasi walia gharama kubwa za uendeshaji

Same. Wachimbaji na wasambazaji wa madini ya jasi katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuridhia kupandishwa kwa bei ya madini hayo kutoka Sh65,000 hadi Sh87,600 kwa tani moja, wakidai kuwa bei ya sasa hairidhishi na haitoshelezi gharama halisi za uzalishaji. Maombi hayo yametolewa katika mkutano wa wadau wa madini ya viwandani uliofanyika mkoani…

Read More

Watatu waliofariki kwa maporomoko ya udogo wazikwa

Moshi. Miili ya watu watatu wakiwamo wawili wa familia moja, waliofariki dunia baada ya nyumba zao kuporomokewa na udongo kutokana na mvua zinazonyesha mkoani Kilimanjaro wamezikwa. Maziko yamefanyika leo Mei 10, 2025 katika vijiji vya Tema na Korini vilivyopo Kata ya Mbokomu. Tukio hilo lilitokea usiku wa Mei 6, 2025. Miili iliagwa katika Kanisa la…

Read More

Mgodi wa dhahabu Magambazi kuanza rasmi Julai

Handeni. Wizara ya Madini imeridhia Kampuni za PMM Tanzania Limited na East African Metals (CANACO) watafute mwekezaji mwingine wa tatu mwenye nguvu  ili kuendesha mgodi wa Dhahabu wa Magambazi uliopo wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,ambao umekuwa ukisuasua kufanyakazi kwa muda mrefu. Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameeleza hayo wakati akitoa muafaka ambapo alitoa siku 30…

Read More