
Kigogo wa CUF atimkia ACT Wazalendo
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo leo Jumapili Mei 11, 2025 kimempokea, aliyekuwa Katibu Mtendaji Jumuiya ya Vijana, Ofisa Mwandamizi ofisi ya Katibu Mkuu, Msaidizi wa Katibu Mkuu, Mjumbe wa Mkutano Mkuu na baraza kuu, Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Wananchi (CUF) taifa, Iddy Mkanza. Hayo yanajiri wakati katika uga wa siasa nchini…