
Dkt. Ndumbaro Azindua Ndumbaro Cup kwa Ajili ya Maendeleo ya Vijana Songea Mjini.
Songea_Ruvuma. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametangaza rasmi kuanzishwa kwa mashindano ya Ndumbaro Cup yatakayofanyika hivi karibuni ili kuwahamasisha vijana kushiriki michezo na kuibua vipaji. Tangazo hilo limetolewa leo Mei 12, 2025, katika hafla ya kugawa vifaa vya michezo kwa matawi ya…