MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, William Thobias amesema haikuwa bahati mbaya kwa timu hiyo kurejea Ligi Kuu, baada ya kushuka msimu wa 2022-2023, kutokana na maandalizi na mikakati bora iliyofanywa na viongozi wa kikosi hicho.
Straika Mbeya City afichua siri ya mafanikio
