NAIBU WAZIRI UMMY AZINDUA MIRADI YA KIUCHUMI YA WENYE ULEMAVU

  Na Mwandishi wetu- Dar es salaam  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya  Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za ufahamu. Mhe. Nderiananga alifanya uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam kwa…

Read More

WAZIRI JAFO AIPONGEZA WMA KUSIMAMIA KIKAMILIFU UBORA WA BIDHAA ZINAZOZALISHWA VIWANDANI

  WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza leo Mei 13,2025,jijini Dodoma,katika Kikao cha Menejimenti ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) cha kufanya tathmini ya utekelezaji wa bajeti katika kipindi cha bajeti ya 2024-2025. Na.Alex Sonna-DODOMA WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,ameupongeza Wakala wa Vipimo (WMA) kwa kuendelea kusimamia kikamilifu ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani lengo…

Read More

Askofu: Charles Hillary mtu makini, alipenda kanisa

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes amesema Charles Hillary. alikuwa mtu makini na alilipenda kanisa. Kabla ya umauti, Charles alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Charles alifariki dunia Mei 11, 2025 wakati akipelekwa Hospitali…

Read More

Malasusa ataka Watanzania kuwa wasikivu kuelekea uchaguzi mkuu

Mwanga. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amesisitiza kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea uhaguzi mkuu, Watanzania wanapaswa kuwa wasikivu na kusikiliza kwa umakini, ili kuhakikisha nchi inaendelea kuimarika na kuwa na maendeleo endelevu. Malasusa ameyasema hayo leo, Mei 13, 2025, wakati akihitimisha ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri…

Read More

Wawakilishi: Vikosi vya SMZ visitumike vibaya

Unguja. Wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameonya matumizi mabaya ya vikosi vya SMZ katika uchaguzi huo. Hayo yamejiri leo Jumanne Mei 13, 2025 wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara…

Read More

Golugwa, wenzake wa Chadema waachiwa

Dar es Salaam. Wakili wa Golugwa, Dickson Matata ameliambia Mwananchi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-bara, Aman Golugwa ameachiwa usiku huu baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu kwa saa kadhaa. Matata ameeleza hilo leo Mei 13, 2025 kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es…

Read More