Nusu ya mashirika ya wanawake katika maeneo ya shida kufungwa kwa hatari ndani ya miezi sita – maswala ya ulimwengu

Karibu na nchi 73, watu milioni 308 sasa wanategemea misaada ya kibinadamu – idadi ambayo inaendelea kuongezeka. Wanawake na wasichana wameathiriwa vibaya na misiba hii, inakabiliwa na vifo vinavyoweza kuzuia ujauzito, utapiamlo, na viwango vya kutisha vya ukatili wa kijinsia. Licha ya hitaji linalokua, mfumo wa kibinadamu unakabiliwa na mapungufu makubwa ya fedha, na kutishia…

Read More

Mawakili wa Lissu waja na jipya usikilizaji wa kesi

Dar es Salaam. Mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wanapanga kuiandikia barua Mahakama kuomba shauri likasikilizwe Chuo cha Sheria kilichopo wilayani Ubungo, Dar es Salaam. Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, 2025. Wakili Jebra Kambole mmoja wa…

Read More

Charles Hilary azikwa kwao Zanzibar, wadau wamlilia

Unguja. Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Charles Hillary ikitamatika rasmi kwa kupumzishwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja, baadhi ya waandishi na watangazaji wakongwe wamemzungumzia kama mtu aliyekuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya habari. Charles alizaliwa October 22,1959…

Read More

Wakati wa takataka za choki, wenyeji wanajiunga na mikono ili kujenga bali-taka-taka-maswala ya ulimwengu

Takataka za kikaboni zikipatikana katika kituo cha usimamizi wa taka zinazoongozwa na jamii katika kijiji cha Sesdan cha Gianyar Regency, Bali. Mikopo: Stella Paul/IPS na Stella Paul (Gianyar, Bali) Jumatano, Mei 14, 2025 Huduma ya waandishi wa habari GIANDAR, Bali, Mei 14 (IPS) – Ilikuwa Krismasi ya Krismasi mwaka jana wakati wageni katika sehemu kadhaa…

Read More

RAIS MWINYI ASHIRIKI MAZIKO YA CHARLES HILARY

:::::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki katika maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Charles Martin Hilary, amezikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, tarehe 14 Mei 2025.  

Read More

‘VIWANGO VYA UJENZI WA SHULE ZA SERIKALI KUREJESHA UBORA’

… …………….. NCC kuhakikisha vinadhibiti utoro, hasara kwa matengenezo ya kila wakati SERIKALI kupitia Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), lililo chini ya Wizara ya Ujenzi, imetekeleza ahadi yake kwa kuhakikisha viwango na viwango msawazo vya ujenzi bora wa majengo ya shule zake za awali, amali na sekondari vinaandaliwa, ili sekta husika ya elimu ivizingatie…

Read More