Ali Choki Afichua Siri Ya Urafiki Wake Na Omari Seseme – Video – Global Publishers




Kiwanda cha muziki wa Dansi Tanzania kimepata pigo la kuondokewa na miongoni mwa magwiji wa muziki huo Omary Seseme.

Seseme alikuwa mwanamuziki wa dansi ambaye alitamba sana akiwa na Bendi ya Sikinde ambapo inaelezwa kuwa alikutwa amefariki nyumbani kwake, Ukonga jijini Dar es Salaam.

Global Tav imezungumza na kiongozi wa bendi hiyo. Video kamili ipo Youtube, Global TV.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.











Related Posts