Amani dhaifu ya Libya ilipimwa tena kama mapigano mapya Roil Tripoli – Maswala ya Ulimwenguni

Mapigano yalizuka mapema wiki katika wilaya kadhaa za mji mkuu wa Libya, iliripotiwa kusababishwa na mauaji ya kiongozi maarufu wa wanamgambo. Mapigano hayo, ambayo yalihusisha silaha nzito katika maeneo yenye watu wengi, yalilazimisha mamia ya familia kukimbia na kuweka shida kubwa kwa hospitali za eneo hilo. Un Katibu Mkuu António Guterres alihimiza pande zote kuchukua…

Read More

MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA MKE WA RAIS WA FINLAND

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi, ameihakikishia Finland kuwa Zanzibar iko tayari kushirikiana nayo katika kuhakikisha malengo ya kuwakomboa wanawake na watoto dhidi ya vitendo vya udhalilishaji, ukatili wa kijinsia na umasikini yanafikiwa. Mama Mariam ameyasema hayo alipokutana…

Read More

SERIKALI YALENGA KUANZISHA KADI MOJA KWA HUDUMA ZOTE ZA UMMA

:::::: Serikali Imesema inamatarajio ya kuwa na kadi moja itakayomwezesha mwananchi kuitumia katika mahitaji mbalimbali ikiwemo viwanja vya michezo, kivuko cha Kigamboni, pamoja na stendi ya mabasi ya Magufuli Bus Terminal huku Lengo kuu likiwa ni kuifanya N-Card kuwa suluhisho la kidigitali linalogusa maisha ya kila Mtanzania.  Serikali pia inalenga kuhakikisha kadi hiyo inatumika kwenye…

Read More

Mtihani mpya wa Chadema | Mwananchi

Dar es Salaam. Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema) kinakabiliwa na mtihani mwingine wa kurudi katika uchaguzi kujaza nafasi zinazoachwa wazi na viongozi wake wanaokihama chama hicho. Viongozi hao hadi sasa wapo katika ngazi za kanda, mikoa, wilaya, majimbo na kata, baadhi wakiwa katika kundi linalounda G55, la waliokuwa wagom,bea ubunge na udiwani linalopingana na…

Read More

Raphael Kinda anayesaka Sh2milioni kujitibu

Masahibu ya majeraha kama haya yamewakumba wachezaji wengi, ambapo yupo pia kinda mwenye kipaji kikubwa ndani ya Singida Black Stars, Helman Raphael  ambaye anapambana na majeraha makubwa ya kuchanika nyama za paja. Raphael ambaye kabla ya kujiunga na Singida alikuwa akiwania na klabu mbalimbali kutokana na kipaji chake, ameshindwa kuwa na maisha mazuri ndani ya…

Read More

Bajaji, pikipiki vinara kutumia nishati ya umeme

Dar es Salaam. Ripoti ya mwaka 2023 kutoka Africa E-Mobility Alliance (AfEMA) imebainisha ongezeko la idadi ya kampuni na wajasiriamali wanaoingia katika soko la magari ya umeme nchini Tanzania. Ripoti hiyo ilionyesha pikipiki na vyombo vya usafiri vya magurudumu matatu (bajaji) vinavyoongoza kwa kuunganishwa na mifumo ya umeme. Tanzania inaendelea kupiga hatua katika matumizi ya…

Read More