Jinsi mikoko huokoa maisha, maisha ya jamii za pwani za Bangladesh – maswala ya ulimwengu

Mikoko mpya imeundwa katika maeneo mbali mbali ili kupunguza hatari za mabadiliko ya hali ya hewa katika kijiji cha Badamtoli cha Dakop Upazila (wilaya ndogo) ya wilaya ya Khulna. Mikopo: Rafiqul Islam Montu/IPS na Rafiqul Islam Montu (Shyamnagar, Bangladesh) Ijumaa, Mei 16, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Shyamnagar, Bangladesh, Mei 16 (IPS) – Golenur…

Read More

Wawakilishi wataka ajenda maalumu kujenga  viwanda

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Serikali kuandaa ajenda ya kitaifa ya kuendeleza viwanda, wakieleza kuwa kukosekana kwa mpango wa pamoja na endelevu kumesababisha kila utawala kuwa na mkakati wake binafsi, hali inayodhoofisha maendeleo ya sekta hiyo muhimu kwa utoaji wa ajira na ukuaji wa uchumi. Pia, Wawakilishi wameitaka Serikali kuweka mipango madhubuti ya…

Read More

Ndejembi awaka watumishi kutoa siri za ofisi

Dodoma. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema changamoto kubwa aliyokutana nayo katika wizara hiyo ni baadhi ya watumishi kujihusisha na utoaji wa siri za ofisi. Ndejembi ameyasema hayo leo Ijumaa Mei 16, 2025 wakati akifunga kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma. “Jambo ambalo, ninataka mfikishe…

Read More

Serikali yazitaja hospitali zinazotoa tiba asilia

Dar es Salaam. Kama unasumbuliwa na magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza na unahitaji tiba za dawa za asili, Serikali imetaja hospitali 14 za mikoa ambazo tiba hizo hutolewa, ogopa matapeli. Hospitali hizo zimeongezeka kutoka saba ambazo Serikali, mwaka 2023, ilizitangaza kuanza kutoa huduma hiyo, sasa zimefika 14. Daktari humpima mgonjwa na kumweleza tatizo lake na…

Read More

Ukomo bando kilio bungeni | Mwananchi

Dodoma. Wabunge wameibua mjadala kuhusu mabando wanayonunua kwenye kampuni za simu kwisha kabla ya kutumika, wakieleza hiyo ni dalili ya wizi. Pia wamezungumzia matumizi ya akili mnemba (AI), wizi wa kutumia mitandao na hisa zilizowekezwa katika kampuni ya Vodacom. Kwa nyakati tofauti wameibua hoja hizo bungeni leo Ijumaa Mei 16, 2025 walipochangia mjadala kuhusu hotuba…

Read More