CG MWENDA ABAINI UKWEPAJI KODI MKUBWA VIWANDANI

          :::::::: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 17.05.2025 amefanya ziara ya kushitukiza kwenye baadhi ya Viwanda vilivyopo wilayani Mkuranga mkoani Pwani na kubaini kuwepo kwa ukwepaji mkubwa wa Kodi unaofanywa na wamiliki wa Viwanda hivyo. Akiwa katika kiwanda cha kuzalisha viatu vya…

Read More

‘Serikali inachukua hatua ripoti za CAG’

Mwanza. Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imewataka wananchi na wadau wa maendeleo nchini Tanzania kujenga utamaduni wa kusoma ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na ofisi hiyo inapobaini udhaifu, mapungufu na ubadhirifu kwenye taasisi na miradi. Akizungumza leo Jumamosi Mei 17,…

Read More

Wadakwa wakiwa na meno ya tembo, bangi

Mbeya. Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa mbalimbali akiwemo, Marko Kweya (51), Mkazi wa Kijiji cha Miyombweni, Wilaya ya Mbarali mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na mano manne ya tembo. Pia, jeshi hilo linamshikilia Hassan Hassan (50), Mkazi wa Mkoa wa Tanga baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye…

Read More

Sababu Padri Nkwera kuzikwa na Kanisa Katoliki

Dar es Salaam. Padri Anthony Mamsery, aliyeoongoza misa kumuombea muasisi wa kituo cha sala na maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), Padri Felician Nkwera (89), ameeleza sababu za mtumishi huyo wa Mungu kuzikwa na Kanisa Katoliki. Padri Nkwera alifariki dunia Mei 8, 2025 katika hospitali ya TMJ alikokuwa akipatiwa matibabu. Maziko yake yamefanyika…

Read More