
CRDB YAJAYO NI “NEEMA” TU,KASI YAKE YA UKUAJI NI ASILIMIA 30 HADI 40 KWA MWAKA.
Na.Ashura Mohamed -Arusha Benki ya CRDB nchini imesema kuwa imefanikiwa kupandisha mapato yasiyotokana na Mikopo ambayo kwa mwaka 2024 yalikuwa chini tofauti na mwaka 2025 ambapo yamepanda na kufikia asilimia 47 hali ambayo inaifanya benki hiyo kuendelea kuwa kubwa na Imara zaidi. Katika hatua hizo za ukuaji wa Benki hiyo ni lazima kuwa imara zaidi,kuwekeza…