
RAIS DKT, SAMIA AMPONGEZA BALOZI MULAMULA(MB), KUWA MJUMBE MAALUM WA WANAWAKE AU
::::: RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbunge Balozi Liberata Mulamula, kwa kuteuliwa kuwa mjumbe maalumu wanawake katika Umoja wa Nchi za Afrika (AU). Rais Dk.Samia ametoa pongezi hizo, leo, jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka…