Kuwawezesha Wasichana: Vodacom Imeleta Tumaini kwa Wasichana Kupitia Elimu ya Kidijitali

 

 Mmoja wa wahitimu akifanya wasilisho la mradi wa kundi lake katika kilele cha mafunzo ya Tehama (Code like a Girl) jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na taasisi ya dLab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC, ikilenga kuwajengea wasichana ujuzi wa TEHAMA na kuwahamasisha kupenda masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM)