Taharuki Hoteli ya Lark, Wafanyakazi Wafungiwa nje

Na Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI 20 wa hoteli ya Lark iliyopo ndani ya jengo la Noble Centre Dar es Salaam, linalomolokiwa na CRJE wamezuiwa kuingia ndani ya hoteli hiyo kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni mgogoro wa kimkataba baina ya mwekezaji wa hoteli hiyo na wamiliki wa jengo. Hatua hiyo imezua taharuki na vilio miongoni mwa…

Read More

TDB- MAZIWA YALIYOSINDIKWA NI SALAMA

KUELEKEA Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Maziwa mwaka huu, Bodi ya Maziwa nchini imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuongeza unywaji wa maziwa, hasa yale yaliyosindikwa, ili kuboresha afya, lishe bora na kuunga mkono sekta ya maziwa nchini. Akizungumza na waandishi wahabari leo Mei20,2025 katika mafunzo yaliyotolewa jijini Dar es salaam, Kaimu Msajili Bodi ya…

Read More

Sababu Dk Mwinyi kuteua wakurugenzi wapya Unguja, Pemba

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amefanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwateua wakurugenzi wapya wa halmashauri na manispaa 11 katika visiwa vya Unguja na Pemba. Taarifa iliyotolewa leo Mei 20, 2025 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Said imeeleza kuwa uteuzi huo…

Read More

Kikwete alivyobadili upepo ushindi wa Profesa Janabi

Dar es Salaam. Ushindi wa Profesa Mohamed Janabi katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, si tu umeandika historia mpya kwa Tanzania, bali pia umefungua ukurasa mpya wa mafanikio ya taifa katika majukwaa ya kimataifa. Katika ushindi huu wa kishindo, yapo mafumbo ya uongozi, diplomasia na mshikamano…

Read More

Katibu wa Amcos jela miaka 20 kwa uhujumu uchumi

Simiyu. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi (Amcos) Kijiji cha Gula, wilayani humo, Masanja Mboje (36) baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya rushwa na uhujumu uchumi. Mboje pia ameamriwa kurejesha Sh3,318,000 milioni  ambazo alizifanyia ubadhirifu ikizingatiwa kuwa kati ya…

Read More