Benki ya Exim Yatangaza Mshindi wa Kampeni ya ‘UEFA Priceless’ Kupitia Exim Mastercard

Benki ya Exim, kwa kushirikiana na mshirika wake wa kimataifa, MasterCard, imekabidhi rasmi zawadi kwa mshindi wa kampeni ya “UEFA Priceless”, Bi. Manjeet Kaur Mair, katika tukio maalum lililofanyika jijini Dar es Salaam. Bi. Mair alijishindia zawadi hiyo kupitia matumizi ya kadi ya Exim MasterCard (Debit), ambapo alifanya miamala mingi zaidi katika kipindi cha kampeni,…

Read More

Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kupima Afya ya Moyo

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv JAMII imehaswa kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara afya ya moyo ikiwa ni hatua muhimu ya kugundua magonjwa mapema na kupunguza gharama za matibabu. Wito huo umetolewa leo Mei 21,2025 na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Profesa Appolinary Kamuhabwa wakati…

Read More

KAILIMA – INEC HAITAONGEZA SIKU ZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA, KESHO MEI 22 NI MWISHO, ATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. KURUGENZI wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya kesho Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025. Kailima ameyasema…

Read More

KILIMO CHENYE TIJA CHAOKOA MAELFU YA WAKULIMA IRAMBA

Mwandishi Wetu, Singida MAELFU ya wakulima wilayani Iramba wameanza kunufaika na mbinu za kilimo chenye tija kupitia mradi wa NOURISH unaotekelezwa na mashirika ya SNV na Farm Africa kwa ushirikiano na RECODA na MIICO. Kupitia maadhimisho ya Siku ya Wakulima wa NOURISH, wakulima wamepatiwa elimu ya kilimo kinachozingatia mabadiliko ya tabianchi, lishe bora na usafi…

Read More

Chaumma kutumia chopa kunadi operesheni yake mpya mikoa 16

Dar es Salaam. Chaumma baada ya kuwapokea wanachama wapya, Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu ametangaza mikakati mipya ikiwemo mwishoni mwa mwezi huu wanatarajia kuzindua operesheni ya C4C Tusonge mbele itakayozunguka mikoa yote. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku…

Read More