Jinsi biolojia ya computational inavyopatikana katika siku zijazo za kilimo – maswala ya ulimwengu

Megan Matthews Maoni na Megan Matthews (Champaign, Illinois) Alhamisi, Mei 22, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Champaign, Illinois, Mei 22 (IPS)-Wakati upainia wa kilimo na baba wa “Mapinduzi ya Kijani” Norman Borlaug alianza kuzaliana na ugonjwa wa ngano, aliye na kiwango cha juu cha ngano, alitumia miaka kwa bidii kupanda na kuchapa vielelezo tofauti…

Read More

Je! Ripoti ya hivi karibuni ya Maendeleo ya Binadamu ya UNDP kwa Amerika ya Kusini, Karibiani – Maswala ya Ulimwenguni

Roseau, mji mkuu wa Dominica mashariki mwa Karibiani. Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu ya UNDP 2025 inaonyesha kuwa nchi katika Amerika ya Kusini na Karibiani zimefanya maendeleo lakini bado zinakabiliwa na changamoto kama ukosefu wa usawa na ukuaji wa polepole, na AI ilizingatia fursa muhimu ya kuharakisha maendeleo ya pamoja. Mikopo: Alison Kentish/IPS na Alison…

Read More

MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MATOFALI 41,000 NA SARUJI TANI 102 KUCHOCHEA SHUGHULI ZA MAENDELEO DODOMA JIJI

▪️Ni kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi kwa kata zote 41 ▪️Jiji la Dodoma latenga Bilioni 6 kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi ▪️Vifaa kulenga kuboresha sekta ya Afya na Elimu ▪️Rais Samia apongezwa kwa maendeleo makubwa Dodoma Jiji Mwenyekiti wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh….

Read More

Mbunge Ummy Mwalimu alivyoleta tabasamu kwa bodaboda Tanga

…………… Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Usalama wa maisha ya binadamu ni jambo la msingi sana, na ndiyo maana unapaswa kulindwa kwa gharama zote. Katika suala la usalama barabani ambalo ni muhimu katika kuhakikisha raia wanakuwa salama dhidi ya ajali na majanga mengine yanayoweza kutokea barabarani, suala la madereva wenye sifa stahiki kwa maana ya…

Read More

TUNU YATAIFA YATAKIWA KULINDWA STERGOMEAN

…… Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema kuwa serikali ya awamu ya sita imeweza kufanikisha kulinda tunu za taifa kupitia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akielezea mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne chini ya…

Read More

Mlandege yajiweka pazuri mbio ubingwa ZPL

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege imeendelea kuufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kuichapa Mwenge kwa bao 1-0 katika mechi iliyopigwa jana kwenye  Uwanja wa Mao A, mjini Unguja. Bao hilo pekee lililoipa Mlandege poinri tatu muhimu lilifungwa na Mussa Hassan dakika ya 63. Licha ya Mlandege kutoka na ushindi, lakini  ilionekana…

Read More

Jinyakulie Maokoto Mengi na Meridianbet Leo

NI Alhamisi murua kabisa ndani ya Meridianbet leo ambapo nafasi ya wewe kuibuka na zaidi ya mamilioni imefika. Timu za ushindi zpo tayari na ODDS za kibabe zinakusubiri. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Saudi, SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE inatarajiwa kuendelea siku ya leo hivyo na wewe ingia mzigoni kusaka Odds za…

Read More