
Almasi ya Sh1.7 bilioni yakamatwa ikitoroshwa Mwanza
Mwanza. Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa nje kupitia uwanja wa ndege wa Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza usiku wa Mei 23, 2025, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema madini hayo yalikamatwa Mei 18, 2025 kwa ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na taasisi mbalimbali za…