
Sh200 milioni zatekeleza miradi ya kijamii Buziba
Geita. Mgodi wa dhahabu wa Mwamba uliopo katika Kijiji cha Buziba, Kata ya Nyarugusu, Wilaya ya Geita umetumia zaidi ya Sh200 milioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kijamii ikiwemo ya elimu na afya. Utekelezaji wa miradi hiyo ni sehemu ya mpango wake wa kurejesha kwa jamii, faida ya rasilimali zinazochimbwa kwenye maeneo yao….