Tshabalala: Tumepambana  tatizo refa | Mwanaspoti

NAHODHA wa timu ya Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema licha ya juhudi kubwa walizoweka uwanjani kuhakikisha wanatwaa Kombe la Shirikisho Afrika, ndoto hiyo ilizimwa na maamuzi tata ya refa Dahane Beida kutoka Mauritania. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mechi ya pili ya fainali dhidi ya RS Berkane, Tshabalala alisema wachezaji wa Simba walipambana kwa…

Read More

Fadlu: Changamoto zimetukomaza, tutarudi kivingine

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amesema pamoja  na kupoteza nafasi ya kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane, kikosi hicho kimeonyesha ukuaji mkubwa wa kiakili na kimchezo kutokana na changamoto walizokutana nazo kabla na wakati wa fainali hiyo. Akizungumza baada ya sare ya 1-1 iliyopatikana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar matokeo…

Read More

TAASISI YA UDOPRESA YAZINDULIWA UDOM

Mkurugenzi  wa Kitengo  cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Rose Joseph  leo Jumamosi tarehe 24 Mei 2025, katika Ukumbi wa LT2  (CHSS)  UDOM amefanya  Uzinduzi wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosomea Uandishi wa Habari na Uhusiano wa Umma Chuo Kikuu cha Dodoma – The University of  Dodoma Public Relations Students Association (UDOPRESA) yenye…

Read More

WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

📍Mtwara WAWEKEZAJI katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa huo, Winnifrida Mrema kupitia mahojiano maalum na wanahabari…

Read More