Wapalestina wanaita dhamira ya Israeli ya kuharibu historia yao na urithi wa kitamaduni huko Gaza – maswala ya ulimwengu

Kushtushwa kwa kijeshi kwa Israeli tangu Oktoba 2023 kumeharibu hospitali, nyumba, chakula, maji, na usafi wa mazingira katika eneo la Palestina la Gaza, na idadi ya vifo vya watu zaidi ya 53,000. Mikopo: Hosny Salah na Catherine Wilson (London) Jumatatu, Mei 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Mei 26 (IPS) – Vita vya…

Read More

USCAF YAINUA ELIMU YA TEHAMA KWA SHULE NA WALIMU NCHINI

 MFUKO wa Mawasiliano kwa WOte (USCAF) umesema katika kipindi cha miaka minne  ya Serikali ya  Awamu ya sita shule za umma 469 zimepelekewa vifaa vya TEHAMA lengo likiwa ni kukuza ujuzi wa TEHAMA kwa Wanafunzi na Walimu nchini. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa USCAF Mhandisi Peter Mwasalyanda katika kikao kazi cha wahariri na waandishi…

Read More

FAIDA, UBUNIFU, BIASHARA, TEKNOLOJIA NA UJUMUISHAJI

  BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imejidhatiti kuendelea kuleta mageuzi katika kutumia teknolojia kuchochea ujumuishi wa kifedha hasa kwa wajasiliamali wadogo na wa kati . Mkurugenzi Mtendaji wa TCB, Bw. Adam Mihayo, alieleza juhudi za kimkakati za benki hiyo ikiwemo kuboresha miundombinu ya kidijitali pamoja na kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wajasiliamali…

Read More

TCB Yajipanga Kuendeleza Mageuzi ya Kidijitali

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imejipanga kuendeleza mageuzi ya kidijitali ili kuongeza ujumuishi wa kifedha kwa wajasiriamali wadogo na wa kati, lakini katika upande wa ukuaji wa mizania ya kifedha, jumla ya mali za benki ziliongezeka kwa asilimia 25 hadi kufikia shilingi trilioni 1.74, na amana za wateja zilifikia…

Read More

Diwani aliyefariki baada ya kumaliza kuhutubia azikwa

‎Iringa. Wananchi, viongozi wameshiriki mazishi ya aliyekuwa diwani wa Kata ya Kiwere, Felix Waya aliyefariki dunia baada ya kumaliza kuhutubia kwenye mkutano katika mkutano wa hadhara uliofanyika ukumbi wa Masai. Miongoni mwa walioshiriki mazishi hayo ni viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Iringa, ambapo wameeleza kupata pigo kufuatia kifo cha Felix. Wameeleza kuwa ni…

Read More

Ulinzi wa Miundombinu ya Mawasiliano Wapewa Kipaumbele katika Maendeleo ya Kidigitali

*UCSAF yaonya dhidi ya uharibifu wa minara ya mawasiliano, yaahidi kuimarisha uhamasishaji wa jamii SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeweka msisitizo mkubwa katika ulinzi na utunzaji wa miundombinu ya mawasiliano, ikibainisha kuwa uharibifu wa minara una athari kubwa kwa maendeleo ya taifa na upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Akizungumza jijini Dar…

Read More