
MSAJILI AWAPIGA PINI MNYIKA NA WENZAKE CHADEMA,AZUIA RUZUKU
……….. Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania ametangaza kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma. Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa leo Jumanne Mei…