Mjumbe wa juu wa UN anataka Israeli kumaliza mgomo mbaya, njaa ya raia – maswala ya ulimwengu

Sigrid Kaag, mratibu wa mpito wa UN kwa mchakato wa amani wa Mashariki ya Kati, alisema kwamba shida iliyotengenezwa na mwanadamu huko Gaza imeingiza raia kuwa “kuzimu.” “Tangu kuanguka kwa kusitisha mapigano mnamo Machi, Raia wamekuwa chini ya moto kila wakati, wamefungwa kwa nafasi za kila wakati, na kunyimwa misaada ya kuokoa maisha“Alisema. “Israeli lazima…

Read More

RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa muda wa wiki mbili kwa uongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga eneo la kariakoo kuanza kufungua njia ili kuruhushu shughuli za kibiashara kufanyika kwa ufanisi wakati serikali ikielekea kufanya uzinduzi wa soko jipya la Kariakoo Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na waandishi…

Read More

Timu za Msaada wa UN zinaomba ufikiaji huku kukiwa na ripoti za Gazans risasi kukusanya chakula – maswala ya ulimwengu

Matangazo yasiyothibitishwa kutoka kwa Rafah ambapo msingi wa kibinafsi lakini wa Israeli unaoungwa mkono na Jeshi la Kibinadamu ni msingi ulionyesha matukio ya hofu na umati wa watu wanaokimbilia pande tofauti, wakati wengine walichukua masanduku ya vifaa. Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN, Ohchralisema kuwa imepokea habari kwamba angalau watu 47 walikuwa wameumizwa Jumanne…

Read More

Mashahidi waaanza kusikilizwa kesi ya rushwa ya aliyekuwa mkurugenzi Simanjiro

Simanjiro. Mashahidi wawili kwenye kesi ya rushwa inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Samwel Warioba Gunza wameanza kutoa ushahidi wao mahakamani. Warioba anashtakiwa kwa makosa mawili ya matumizi mabaya ya madaraka na kutotimiza wajibu wa kisheria ambao ni kinyume cha sheria. Akitoa ushahidi wake, Mei 28 mwaka 2025, mbele…

Read More

Viongozi wa dini watoa neno suluhu ya mashauri ya ndoa

Dar es Salaam. Wakati Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu ikija na mkakati wa kushughulikia mashauri ya ndoa kwa kutenga fungu kwa ajili hiyo, viongozi wa dini wameshauri nguvu ielekezwe kwenye kukabiliana na kiini cha changamoto hiyo. Mei 27,2025 akiwasilisha bajeti bungeni jana, Waziri Dk Dorothy Gwajima alisema wizara hiyo imeandaa…

Read More

Majiko banifu 626 yakabidhiwa Ruangwa

Ruangwa. Serikali ya Wilaya ya Ruangwa kupitia wadau mbalimbali wa maendeleo wametoa majiko ya gesi 626, pamoja na majiko banifu katika kuendeleza nishati safi ya kupikia. Akizungumza leo Jumatano Mei 28, 2025 baada ya kukabidhiwa jiko mkazi wa Ruangwa na mjasiriamali,  Salome Akida amesema kuwa majiko hayo yanasaidia kuokoa muda pamoja na kupika kwa urahisi….

Read More

Ubunge wa Siha unavyomtesa Dk Mollel, awalalamikia Takukuru

Siha. Mbunge wa Siha mkoani Kilimanjaro, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameibua gumzo wilayani humo, akituhumu kuhujumiwa ubunge wake huku akivihusisha vyombo vya usalama ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ambapo taasisi hiyo imejibu hoja hiyo. Siyo mara ya kwanza Dk Mollel kulalamika kuhujumiwa ubunge wake, mara…

Read More

Mikakati Chadema kusuka safu Mbeya, Mwabukusi atoa msimamo

Mbeya. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisisitiza msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi kwa madai ya kutaka mabadiliko, huko mkoani Mbeya maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa ndani katika majimbo mawili ya Mbeya Mjini na Uyole yameanza. Hivi karibuni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilitangaza Jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa kupata jipya…

Read More