
SERIKALI YAMPONGEZA MWL BHOKE KINARA UPISHI NA UPAMBAJI GEITA
………………. Na Daniel Limbe,Torch media SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imempongeza Bhoke Kisigiro, kwa kuibuka mshindi wa kwanza katika tuzo ya mpishi na mpambaji bora wa keki 2025 iliyotolewa na “Geita Women Festival (GWF) huku watumishi wengine wakihimizwa kufanya shughuli za ziada za kuwaingizia kipato baada ya muda wa kazi. Bhoke ambaye kitaaluma ni mwalimu,…