Waipa serikali mbinu kupunguza deni la Taifa

Dodoma. Msisitizo kwenye ukusanyaji wa mapato ya ndani ya nchi umetajwa kuwa njia pekee ya kupunguza Deni la Taifa ambalo mpaka mwaka huu wa 2025 limefikia Sh97 trilioni, kwa mu-jibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Wadau wa maendeleo ya Taifa wamebainisha hayo leo Mei 30, 2025 jijini Dodoma wakati wa…

Read More

Afrika yajadili mbinu matumizi sahihi ya intaneti kukuza ajira kwa vijana

Dar es Salaam. Tanzania imesema iko tayari kushiriki katika uchumi wa kidijitaji na kuhakikisha inatimiza malengo ya milenia ya mageuzi ya teknolojia yaliyopo duniani, huku ikihamasisha vijana watumie intaneti kwa manufaa. Kauli hiyo inakuja, huku viongozi mbalimba-li barani Afrika, wakitafuta mbinu za kuhakikisha vijana barani wanatumia fursa zilizopo kwenye mitandao, kukuza uchumi kidijitali na kuachana…

Read More

Liwale kutumia ‘drone’ kufukuza tembo makazi ya watu

Liwale. Katika kukabiliana na changamoto ya wanyamapori waharibifu na wakali katika vijiji 64 kati ya 76 vilivyopo Liwale, Serikali kupitia Mamlaka ya Wanyapori Tanzania (Tawa) wamekuja na matumizi ya teknolojia ya ndege nyuki (drone) ili kuwadhibiti wanyama hao hasa tembo. Hayo yamebainishwa leo Mei 30, 2025 na Mhifadhi wa Wanyamapori Wilaya ya Liwale, Philipo Orio…

Read More

Wadau na wabunge watoa ya moyoni Ilani ya CCM

Dodoma. Wadau na wabunge wamesema kuwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2025/30, iliyopitishwa na Mkutano Mkuu wa chama hicho, imejibu masuala mengi muhimu ambayo Watanzania walikuwa wakingojea kwa hamu, yakiwemo mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya. Akizungumza leo, Ijumaa Mei 30, 2025, Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo…

Read More