Nini hatima ya siasa kwa Askofu Gwajima?

Moshi/Dar. Kuna usemi “A King’s word is law” ikimaanisha neno la mfalme ni sheria na hili linaakisi kile ambacho kinatarajiwa kumkuta Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, baada ya kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusiana mchujo wa wagombea 2025. Rais Samia wakati akifunga mkutano mkuu maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dodoma Ijumaa…

Read More

Rais mpya wa mahakama ya Afrika kujulikana Juni 2

Arusha. Rais mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) anatarajiwa kujulikana Jumatatu, wakati jopo la majaji wa Mahakama hiyo litakapofanya uchaguzi wa viongozi wapya wa taasisi hiyo ya juu ya haki barani Afrika. Uchaguzi huo utafanyika katika Kikao cha 77 cha Kawaida cha Mahakama kinachotarajia kuanza muhula wake mpya Jumatatu…

Read More

Taka za plastiki zaipasua kichwa Serikali

Arusha. Katika kukabiliana na madhara yatokanayo na kuzagaa kwa taka za plastiki nchini, serikali imewaita wadau wa sekta binafsi kushirikiana kupunguza tatizo hilo ikiwemo kufanya bunifu mbalimbali zenye kuzirejesha katika matumizi. Tanzania inakadiriwa kuzalisha zaidi ya tani milion 20 za taka ngumu kila mwaka, ikiwa ni wastani wa kilo 300 kwa mtu mmoja kwa mwaka…

Read More

AKU yaanzisha shahada mpya ya uzamili kwa wauguzi

Dar es Salaam. Katika hatua ya kihistoria inayolenga kuboresha utoaji wa huduma ya afya ya msingi nchini, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimezindua programu ya kwanza wa Shahada ya Uzamili kwa wauguzi nchini. Hatua hiyo inaendeleza dhamira ya taasisi hiyo ya kuboresha huduma za afya kupitia wataalamu waliobobea, wenye utu, na wanaojali jamii. Uzinduzi…

Read More

Mapya yaibuka kesi ya Lissu

Dar es Salaam. Wakati kesi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zikitarajiwa kurejea mahakamani Juni 2, 2025, Wakili wake wa kimataifa, Robert Amsterdam ameibua mapya. Amsterdam amewasilisha malalamiko kwenye Kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachohusika na watu wanaozuiliwa kiholela (UNWGAD), akitaka uchunguzi wa haraka ufanyike kuhusu kukamatwa na kushikiliwa…

Read More

Takukuru yaeleza madudu yaliyoibuka mkoani Rukwa

Rukwa. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Rukwa, kupitia kwa Mkuu wake, Mzalendo Widege, imeelezea hatua mbalimbali zilizochukuliwa katika kudhibiti rushwa na kuimarisha uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma  katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2025. Akizungumza na Mwananchileo Mei 31, 2025 ofisini kwake, Kamanda Widege alisema Takukuru…

Read More

WAKILI PETER MADELEKA ACHUKUA FOMU YA KUWANI UBUNGE KIVULE

 ::::::::::: Wakili Peter Madeleka amejitosa rasmi kuwania Ubunge katika Jimbo jipya la Kivule, Madeleka aliyejiunga na ACT Wazalendo hivi karibuni akitokea Chadema amechukua fomu Leo jijini Dar es Salaam. Hafla ya kuchukua fomu hiyo imefanyika katika ofisi za chama hicho na kuhudhuriwa na umati wa wanachama pamoja na viongozi mbalimbali wa chama ngazi ya jimbo….

Read More

UDSOL YAANDAA KILELE CHA MASHINDANO YA KIMAHAKAMA

:::::::: Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imesema inatarajia kufanya kilele cha msimu wa tatu wa fainali za Mashindano ya Mahakama Igizi (UDSoL). Kupitia taarifa iliyotolewa leo na Mratibu wa UDSoL, Dkt. Petro Protas, imesema kuwa kilele hicho kitafanyika Juni 4, 2025, katika Ukumbi wa Council Chamber, ulioko katika Kampasi…

Read More

Sababu ongezeko magonjwa ya mfumo wa upumuaji

Dar es Salaam. Wizara ya Afya imetaja sababu ya ongezeko la magonjwa ya mfumo wa upumuaji, huku wataalamu wa afya wakiebainisha hatua sahihi za kuchukua kwa wagonjwa. Kauli hiyo imekuja, wakati kukiwa na ongezeko la wagonjwa wa mafua, kifua na kikohozi nchini, hususani katika Jiji la Dar es Salaam, Arusha na Dodoma na baadhi ya…

Read More