Ilani mpya ya CCM yabeba vipaumbele tisa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo amesema ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2025/2030 imebeba vipaum-bele tisa ikiwemo kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii. Vipaumbele vingine ni kuchochea mapinduzi ya kisasa, fungamanishi, jumuishi na shindani uli-ojengwa katika msingi wa kuongeza thamani…