Profesa Janabi ashinda kwa kishindo WHO

Mwakilishi wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi ameshinda kwa kishindo nafasi hiyo. Profesa Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, ametetea nafasi hiyo ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Tanzania kabla ya kifo cha Dk Faustine Ndugulile. Kwa taarifa zaidi endelea…

Read More

Zitto ashtakiwa kwa andiko la IPTL

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Harbinder Sethi amemfungulia mashtaka kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimtuhumu kumdhalilisha kwa kuchapisha taarifa za uongo, kashfa na zenye madhara dhidi yake. Shtaka hilo la Sethi katika Mahakama Kuu ya Tanzania limetokana na chapisho la Zitto katika ukurasa wake wa X (zamani Twitter) akifafanua kuhusu sakata la IPTL kwa…

Read More

Mynaco ataja ugumu Ligi ya Wanawake nchini Misri

KIUNGO wa Zed FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema msimu huu umekuwa bora kwake kutokana na ushindani ulioongezeka kwenye ligi hiyo. Mynaco alijiunga na timu hiyo msimu wa 2023 akitokea Yanga Princess ambayo ilimuuza kwenda nchini Misri. Kiungo huyo wa zamani wa Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens huu…

Read More

Chaumma kuwapokea waliohama Chadema | Mwananchi

Dar/mikoani. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kitafanya mikutano yake ya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam. Vikao hivyo vinafanyika baada ya kuahirishwa. Awali, vilikuwa vifanyike Mei 10 na 11, 2025 lakini viliahirishwa. Macho na masikio katika vikao hivyo ni mapokezi ya waliokuwa viongozi na wanachama…

Read More

Kisa kuikimbia JKT, Fountain kukutana na rungu

BAADA ya Fountain Gate Princess kugomea kuendelea na mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake juzi dhidi ya JKT Queens, itakumbana na adhabu ya kutozwa faini ya Sh 2 Milioni na kupokonywa ushindi. Kwa mujibu wa kanuni ya 33 kifungu cha sita kinaeleza kuwa timu yeyote itakayogomea kuendelea na mechi itapigwa faini ya kiasi hicho na…

Read More

Dakika 20 za Janabi kunadi sera akigombea WHO Afrika

Dar es Salaam. Mwakilishi wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi ametumia dakika 20 kunadi sera zake akijikita kwenye maeneo makuu manne, huku akitaja vipaumbele vyake saba. Profesa Janabi amenadi sera hizo leo Jumapili, Mei 18, 2025 mbele ya Bodi ya Utendaji ya Shirika…

Read More

Novatus asaka historia ya Samata Ulaya

MBWANA Samatta anajiandaa kuandikia historia binafsi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushiriki michuano ya Ulaya zaidi ya mara moja baada ya timu yake ya PAOK FC ya Ugiriki kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuangukia katika Europa League msimu ujao, jambo ambalo Mtanzania mwingine Novatus Miroshi anayekipiga Goztepe ya Uturuki anafukuzia pia. Msimu wa…

Read More