Waombaji mikopo ya elimu, tafuteni namba za NIDA mapema

………. Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Ni takwa la kisheria kwa waombaji wa mikopo ya elimu kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuwa na namba ya utambulisho (National Identification Number-NIN) au kitambulisho cha uraia kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kuweza kuomba mikopo ya elimu. Pamoja na kwamba…

Read More

Chama la Kelvin John hatihati kushuka daraja

IMESALIA mechi moja kujua hatma ya chama la mshambuliaji wa Kitanzania, Kelvin John kushuka daraja rasmi. John anayekipiga Aalborg Ligi Daraja la Kwanza nchini Denmark timu yake iko mkiani mwa msimamo ikiwa na pointi 24, sawa na Lyngby ikiwa na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa. Mechi ya mwisho dhidi ya Lyngby itakayopigwa Mei…

Read More

Sita wafariki dunia kwa kufukiwa na kifusi mgodini, 11 waokolewa

Shinyanga. Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati wachimbaji hao walipokuwa wakiendelea na kazi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na wawekezaji kutoka Chin,a ambapo wachimbaji 11 wameokolewa wakiwa hai na kuwahishwa  Hospitalini…

Read More

Dk Ndugulile akumbukwa WHO ikifanya uchaguzi

Dar es Salaam. Bodi ya Utendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kamati ya Kanda ya Afrika, imemkumbuka Dk Faustine Ndugulile na kutuma salamu za rambirambi kwa familia na nchi ya Tanzania kwa kumpoteza kiongozi huyo. Hayo yamesemwa leo Jumapili, Mei 18, 2025 wakati wa kikao maalumu cha ana kwa ana cha kamati na…

Read More

Waziri Ulega awaonya wakandarasi wazembe, NCC yaja na mfumo kusaidia sekta ya ujenzi

Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi nchini kutekeleza miradi kwa weledi na kwa kuzingatia viwango, ili kuleta tija kwa Taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mei 15, 2025 wakati akifungua  mkutano wa mashauriano na wadau wa sekta ya ujenzi, Waziri Ulega amesisitiza umuhimu wa wakandarasi kutekeleza kazi zao kwa kuzingatia masharti…

Read More

BARRICK YAWEZESHA NA KUSHIRIKI KONGAMANO LA KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WA VYUO VIKUU ZANZIBAR

  Mkurugenzi wa Vijana,Wizara ya Habari,Vijana na Michezo Zanzibar,Shaibu Ibrahim Muhamed ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea na Wanafunzi na wageni waalikwa Afisa Msimamizi wa Idara ya Uchenjuaji kutoka mgodi wa Barrick North Mara, Kiugu James akiongea na Wanafunzi katika kongamano hilo. Mkurugenzi wa Vijana,Wizara ya Habari,Vijana na Michezo Zanzibar,Shaibu Ibrahim Muhamed (kushoto) akibadilishana mawazo na…

Read More

Zawadi aina saba za kumpa mwenza wako

Mwanza. Katika maisha ya ndoa, kuna mambo mengi yanayochangia kuimarisha uhusiano kati ya wanandoa.  Miongoni mwa mambo hayo ni mawasiliano mazuri, kuheshimiana, kusameheana, na kushirikiana katika majukumu ya kila siku.  Hata hivyo, kuna jambo jingine linalochukuliwa kuwa dogo na lisilo la lazima na watu wengi, lakini lina nguvu kubwa ya kuimarisha mapenzi na kuleta furaha…

Read More