Mambo yanayowaathiri wanawake kwenye malezi
Dar es Salaam. Malezi ni jukumu la baba na mama. Mtoto anayelelewa kwa uwiano mzuri na baba na mama anakuwa mbali sana kimakuzi, kimaendeleo na kihisia tofauti na yule ambaye amekosa upande mmoja. Pamoja na ukweli huu, wanawake wanabaki kuwa viungo muhimu sana kwenye malezi ya watoto. Mtoto aliyekosa malezi ya mama anaweza kuwa tofauti…