Mambo sita yaisubiri Kamati Kuu Chadema
Kakola. Mambo sita likiwemo la makada na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia (Chadema) kujivua uanachama mfululizo zinatarajia kutawala katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho Mei 21, 2025 jijini Dar es Salaam. Kikao hicho, ambacho kitakuwa cha kwanza kufanyika bila kuwepo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ambaye yupo mahabusu, kitaongozwa na Makamu…